1 Kings 8:61
61
Lakini ni lazima mwiweke mioyo yenu kikamilifu kwa
Bwana
Mwenyezi Mungu wetu, kuishi kwa maagizo yake na kutii amri zake, kama ilivyo wakati huu.”
Kuwekwa Wakfu Hekalu
(
2 Nyakati 7:4-10
)
Copyright information for
SwhKC